TANZANIA: Video mpya toka kwa Young Killer ft Juma Nature ‘Popote Kambi’
8 February 2016

Msanii wa Hip hop, Young Killer baada ya kuachia audio ya ‘Popote Kambi’ mwishoni mwa mwaka jana (2015), amekusogezea video ya wimbo huo alioshirikiana na mkongwe Juma Nature. Video hiyo imepambwa ilopambwa na picha nzuri pamoja na warembo wenye kuvutia.
Video ya ‘Popote Kambi’ imeongozwa na Tonee Blaze.
Tazama video hiyo hapa;




Leave your comment