TANZANIA: H Baba na Mke wake wanatarajia kupata mtoto wao wa tatu!

 

Mke wa msanii H Baba, Flora Mvungi anatarajia kujifungua hivi karibuni na kuipata familia yake ya mtoto wa tatu.

Wana ndoa hao wenye watoto wawili, Tanzanite na Africa wamepost picha katika mitandao ya kijamii zenye ujumbe kuhusiana na mtoto huyo wamtarajiae.

Kupitia Instagram, H.Baba aliandika;

Naye Flora Mvungi aliandika pai;

Flora Mvungi akiwa na watoto wake

Tanzanite na Afrika.

 

Leave your comment