TANZANIA: Video ya Lupela ya Ali Kiba kuzinduliwa Alhamis hii Slipway!
3 February 2016

Video ya wimbo mpya wa Ali Kiba ‘Lupela’ itazinduliwa rasmi Alhamis ya wiki hii Februari 4, katika hoteli ya Slipway jijini Dar es salaam.
Tayari kadi za mialiko zimeanza kutolewa. Video pamoja na uzinduzi huo vimesimamiwa na Wild Aid ambayo Ali Kiba ni mmoja wa mabalozi wake.

Video ya wimbo huo imefanyika jijini Los Angeles, Marekani.




Leave your comment