TANZANIA: Wimbo mpya toka kwake Mheshimiwa Temba ft Jokate na Yamoto Band ‘Fundi’

 

Rapper toka kundi la Wanaume Family, Mheshimiwa Temba ameachia wimbo mpya uitwao ‘Fundi’, amewashirikisha Jokate na Yamoto Band. Msanii huyo aliyekuwa kimya kwa muda mrefu amerudi na kuahidi kufanya vizuri kwa mwaka huu. Pia huko nyuma Temba alitamba na kibao kama 'Mkono mmoja' akiwa na Wahu, 'Amekoma' na nyingine nyingi akiwa na kundi la Wanaume Family. 

Producer wa wimbo huo mpya wa 'Fundi' ni Marco Chali.

Sikiliza hapa;

Leave your comment