TANZANIA: Kaa tayari kuipokea album mpya toka kwa Hemed Phd mwishoni mwa Februari

Hemed Phd amesema hatimaye mwezi huu atatimiza ndoto yake ya muda mrefu ya kuachia album yake.

Msanii huyo wa muziki na uigizaji amesema album yake iitwayo Virgo itatoka mwezi huu mwishoni.

Pia amesema Ijumaa hii ataachia wimbo uitwao ‘Where You Are’ aliomshirikisha Gelly wa Rhymes na Gosby utakaokuweo kwenye album hiyo. Wimbo huo umetayarishwa kwenye studio za Sei Records.

“Album yangu Virgo itakuwa na ngoma 12 na hiyo ikiwemo. Itakuwa out mwezi wa pili mwishoni na kuna kolabo kali mbili zinafuata before album kutoka. Mashabiki zangu mkae mkao wa kula” alisema Hemedi.

Source: Bongo 5

Leave your comment