TANZANIA: Kayumba wa BSS kuzindua video yake mpya wiki hii

Mshindi wa shindano la Bongo Star Search 2015, Kayumba Juma kutambulishwa rasmi kama msanii weekend hii, na kuzindua video ya wimbo wake wa kwanza tangu alipotangazwa kuwa mshindi wa shindano hilo mwaka jana.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Kayumba alishare habari njema na mashabiki zake kwa kuandika;

“Asante #Mungu kwa kuzifanya siku mbili hizi zilizo fatana kuwa za muhimu kwangu Nikiwa na maana kwamba tarehe 5/2/2016 #mabirthday na 6/2/2016 kutakuwa na uzinduzi wa #vidio yangu Utakao fanyika viwanja vya #Mwembeyanga #MSIKOSE”

Kayumba amabye yuko chini ya usimamizi wa kituo cha Mkubwa na Wanawe cha Said Fella pamoja na uongozi wa BSS kwa sasa, ameshoot video Afrika Kusini wiki kadhaa zilizopita.

Kayumba akiwa na Bab Tale na Justin Campos

Mwezi Disemba mwaka 2015 Said Fella aliiambia tovuti ya Bongo 5 kuwa Kayumba alisafiri na timu ya BSS kwenda Afrika Kusini kushoot video hiyo na director aliyefanya video ya Shaa ambaye ni Justin Campos wa Gorilla Films.

Mashabiki wanasubiri kwa hamu kubwa kuona uwezo aliokuwa nao kwenye BSS utaweza kuendelezwa kwenye project zake binafsi. Kitu ambacho kilishindikana kwa washindi waliopita.

Tazama baadhi ya picha za Behind The Scene wakati wa utengenezaji wa wa video hiyo;

Video queen katika video hiyo

Leave your comment