TANZANIA: Tazama picha za Vanessa Mdee katika uzinduzi wa Album mpya ya Jahazi Modern Taarabu Dar Live

Vanessa Mdee wikiend iliyopita alisindikiza uzinduzi wa album ya Jahazi Modern Taarab iliyo chini ya Mzee Yusuf.

Uzinduzi wa album hiyo iitwayo nyang’anyang’a ulifanyika katika ukumbi wa Dar Live, Mbagala jijini Dar es salaam.

Leave your comment