TANZANIA: Tazama video mpya toka kwa Navy Kenzo ‘Kamatia’
1 February 2016

Kundi la muziki la Navy Kenzo wameachia video mpya iitwayo ‘Kamatia’. Wimbo huo umetayarishwa na Nahreel mwenyewe wa The Industry, video imeongozwa na Justin Campos.
Video ina picha nzuri na matukio yenye mtiririko maalum yenye kukufanya uendelee kutamani kuangalia tena na tena.
Kundi hilo linatamba na video ya ‘Game’ waliyomshirikisha mwanadada Vanessa Mdee na kushika chart za juu kwenye vituo mbalimbali vya kimataifa kama MTV Base, Trace Urban na nyinginezo.
Tazama video hiyo hapa;




Leave your comment