TANZANIA: BASATA yakana kuifungia “Zari All White Party”
29 January 2016

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limekanusha taarifa zilizosambaa katika mitandao ya kijamii kuwa limeifungia onesho la mpenzi wake Diamond, Zari “Zari All White Party”.
Baadhi ya mitandao iliyoandika kuhusu story hiyo ni Jamii Forum, ambapo walidai BASATA imelifungia onesho hilo kufanyika hapa nchini kutokana na kukiuka kanuni na masharti waliyotoa.
Kupitia ukurasa wao wa Twitter BASATA limekanusha taarifa hizo na kuwataka wananchi kupuuza habari hiyo;






Leave your comment