TANZANIA: Hii ni zaidi ya zawadi ya birhday, soma hapa Wema alichomuandikia Idriss!
28 January 2016

Mrembo toka Bongo movie anazidi kuweka headlines baada ya kuweka wazi mahusiano yake na Idris Sultan (mshindi wa BBA 2014) na ujauzito wake.
Katika kumtakia kheri ya kuzaliwa mpenzi wake huyo, Wema ameandika maneno yenye uzito na thamani katika kuonyesha ni jinsi gani anampenda na kumthamini.
Siku kadhaa zilizopita kulitokea mabishano katika mitandao ya kijamii na kuzua maswala ya DNA ya mtoto wa Diamond. Na Zari alijibu kuwa Wema nae aonyeshe Ultra sound ya mimba yake. Lakini hiyo haikumaanisha yeye kumzuia kufanya mambo yake na kuudhihirishia ulimwengu kuwa maisha yanaendelea.
Soma hapa maneno hayo ambayo ni zaidi ya zawadi;





Leave your comment