TANZANIA: Tazama video mpya ya ‘Mama Koku’ by Abby Skills
28 January 2016

Msanii aliyefanya vizuri kipindi cha nyuma na nyimbo ya ‘Maria’ na ‘Mimi na Wewe’ Abby Skills ameachia video mpya ya wimbo unaitwa ‘Mama Koku’. Video imeongozwa na Allen Masalla.
Tazama video hapa;




Leave your comment