Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA – Waziri Nape aonyesha umahiri wake wa kulikamata gitaa (+Video)
27 January 2016

Raisi wa Habari, Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye ameonyesha umahiri wake wa kupiga gitaa katika party iliyofanyika wikiend iliyopita kwenye ukumbi wa Escape One.
Party hiyo iliyokuwa yakusherekea uzinduzi wa Clouds TV ndani ya DSTV katika chanel 294.
Kwenye stage alipanda Waziri Nape akionesha ufundi wake wa kupiga gitaa na kundi zima la Weusi ikiunganisha burudani ya Don’t bother.
Tazama video hapa;
Weekly Top 10 songs
Top stories
- Smart skid life history
09 September





Leave your comment