TANZANIA: Ndoa si kitu rahisi – Shaa
26 January 2016

Mwanadada Shaa anaamini kuwa kufunga ndoa si mwisho wa matatizo kama wengi wanavyoamini.

Muimbaji huyo mwenye uhusiano na Producer Master J, alikiambia kipindi cha Pillow Talk cha Times FM kuwa yeye yupo kwenye uhusiano mwaka wa 10 sasa lakini haoni sababu ya kukimbilia ndoa kabla hajajiweka sawa kiuchumi.

“Ndoa sio solution ya kila kitu unajua, yaani ukiolewa tu umemamliz matatizo NO, unahitaji kujiweka sawa na kujiandaa”, alisema.

Hata hivyo Shaa amesema miaka 3 ijayo huenda akaingia kwenye ndoa.

Leave your comment