TANZANIA: Linex kujipanga vyema kimuziki mwaka huu 2016

Msanii Linex Sunday Mjeda amejinadi kuwa mwaka huu amejipanga vizuri kuufanya muziki wake uwe wa kibiashara zaidi.

Mwanamuziki huyo ambaye ameachia wimbo mpya hivi karibuni uitwao ‘Kwa Hela’, amezungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio kuwa uongozi alionao kwa sasa utamfanya afanye kazi kwa mafanikio.

“Biashara yangu ya mziki mwaka huu itabadilika”, alisema na kuongeza “Nina strong management, nikiweka business plan mezani, unaweka pesa, means kwamba tutafanya biashara ya muziki mwaka huu kuliko mwaka wowote ambao nilishawahi kufanya baishara yangu ya muziki”.

Linex amewataka mashabiki kumpa support kwenye kazi yake mpya na kuwaahidi video nzuri.

Leave your comment

Top stories