Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: Jokate na Ali Kiba mapenzi moto moto (picha)
26 January 2016

Penzi la msanii Ali Kiba na mwanadada Jokate Mwegelo linazidi kupamba moto.

Wawili hao wanaonekana kuanza kuikubalia hali ya kuwa hawawezi tena kuyaficha mahaba yao kiasi cha kuanza kufanya photoshoot za pamoja za mradi ambao bado haujajulikana ni wa kitu gani.

Weekend iliyopita, picha yao inawaonyesha wakiwa wamezama kwenye dimbwi la mahaba, ilisambaa mtandaoni huku pia Jokate akiwa ameweka kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Jokate na Ali Kiba katika pozi matata

Weekly Top 10 songs

omelette4:28
ONLY YOU JESUS5:44
Melody Ft Tunche the best3:20
Kupenda nishapenda zaani3:12
Nigina2:27
R.I.P Manu4:52
CHAMPION GAL3:00
Zabike2:50
Haipo Sawa (Feat. Don breezy)4:13
Wano Wano2:15
Top stories
- OXEN MUSIC
29 July
- Mytee boy - SURVIVE
28 July
- Abakuchinsali
29 July

Leave your comment