TANZANIA (+Audio) :Mwasiti atoa sababu gani hataki kuolewa

 

Mwanamuziki wa Bongo Fleva Mwasiti aliyehit na kibao cha ‘Serebuka’ aeleza ni kwa sababu gani hataki kuolewa. Pia mrembo huyo ameachia wimbo mpya wa ‘Sema Naye’ akiwa amemshrikisha Queen Darlin.

Sikiliza hapa exclusiveinterview aliyohojiwa na Millarayo;

Leave your comment

Top stories