TANZANIA – Nay wa Mitego alizwa na maneno ya kashfa ya mzazi mwenzie
26 January 2016

Msanii wa Bongo Fleva, Emanuel Elibarik aka Nay wa Mitego amesema hajawahi kutoa machozi kwa muda mrefu ila maneno ya kashfa yaliyotolewa na mzazi mwenzie yalimliza.

Akizungumza na tovuti ya Times FM, Nay alidai kuwa mzazi mwenzie Siwema alipotangaza kwenye mitandao ya kijamii kuwa mtoto wao Curtis si damu yake, aliumia sana.

“Sikuwahi kuyumbishwa na mitihani aliyokuwa ananipa ila kwa lile tukio nilihisi kabisa yule mwanamke amefanikiwa kuniyumbisha, nilitokwa na machozi na kushindwa kufanya kazi zangu mpaka pale nilipokwenda kwa mkemia kuthibitisha kuwa Curtis ni mwanangu”.

Ambapo Nay amesema vipimo vya DNA vilionesha kuwa Curtis ni mtoto wake.

Leave your comment