TANZANIA – Kionjo cha video ya ‘Nyang’anyang’a’ by Shilole

Msanii Shilole ameachia kipande cha wimbo wake mpya alioachia mwishoni mwa mwaka jana 2015 uitwao ‘Nyang’anyang’a’, video hiyo inayofanyika nchini Afrika Kusini. Pia imeongozwa na director kutoka Tanzania Khalfan Khalmandro.

Tazama kionjo hicho hapa;

Leave your comment

Top stories

More News