TANZANIA – Usipitwe na video hii toka kwa AY ft Diamond ‘Zigo Remix’

 

AY na Diamond wanasherehekea mafanikio yaliyokuja muda mfupi baada ya kuachia remix ya wimbo wa ‘Zigo’, japo haikuwa rahisi kuingia studio na kurekodi.

AY alikiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM kuwa walitumia takribani saa moja tu kumaliza kurekodi kutokana na kuwa na mambo mengi baada ya kufika Afrika Kusini.

Hata hivy video hiyo imepokelewa vizuri na kufikisha views 170k.

Video hiyo imefanyika na Studio space pictures ya Afrika Kusini. 

Tazama hapa;

Leave your comment

Top stories