NEW VIDEO – Tazama video mpya ‘Nagode’ yake Yemi Alade (Swahili version)
25 January 2016

Hii video mpya ya mwanadada Yemi Alade wa Nigeria ya wimbo wake wa ‘Na Gode’ alioimba kwa lugha ya Kiswahili. Ambapo mwanadada huyo alivutiwa na lugha ya kiswahili kutokana na kutembelea nchi za Afrika Mahariki mara kadhaa, Kenya na Tanzania sana sana. Pia wimbo huo uliandikwa na Bien kutoka kundi la Sauti Sol wa Kenya.
Video hiyo imeongozwa na cinematographer Paul Gambit.
Tazama hapa;




Leave your comment