EXCLUSIVE (TANZANIA) – Zari aamua kujibu haya baada ya watu kusema Tiffah sio mtoto wa Diamond

 

Baada ya Wema na Zari kurushiana maneno wiki hii katika mitandao ya kijamii Instagram, ambapo majibizano yakaleta hadi masauala ya DNA   Tiffah.

Diamond alijibu swala hilo katika exclusive interview, lakini pia Soudy Brown wa U heard alimuhoji Zari.

Zari alisema ‘Its not anybody business about whose daddy Tiffah is’.

 

 

Pia Zari aliongeza na kusema kachoshwa na maneno kuhusu mtoto wao Tiffah, kwanza hawahusu chochote kwahiyo hata kama ni mtoto wa Diamond au sio wake, wanaomzungumzia DNA hawamhusu chochote.

Pia Zari alisema wana huyo mtoto mmoja tu lakini yuko tayari hata kuwa na watoto watatu wa Diamond.

 

 

Leave your comment

Top stories