EXCLUSIVE (TANZANIA) – Je, umewahi kumfahamu role model wa Nay Wa Mitego?
22 January 2016

Katika maisha kila mtu anakuwa anatamani kufanya kitu na kufanikiwa kuwa kama mtu fulani anayempa hamasa kuwa kama yeye. Na kwa wasanii pia huanza kwa kuimba kwa kufuata nyayo za role model wake.
Mwanamuziki Nay Wa Mitego alivutiwa na Jeffrey Atkins maarufu kama Ja Rule.
“Mimi zamani nilikuwa naimba kama Ja Rule”, Nay alikiambia kipindi cha Chill na Sky.
“Ukisikiliza wimbo Kama Unanipenda nilikuwa na ‘UjaRule’ fulani na ni mtu ambaye nilikuwa nampenda sana, nilikuwa namsikiliza sana album zake zile Pain is Love”.
Nay pia amesema kuwa P- Funk Majani ndiye aliyemjenga zaidi kwenye hip hop.




Leave your comment