TAZAMA VIDEO YAO CORNEL NA DENAH

Cornel na Denah waliitoa video yao iliyowavutia sana watu hasa wanaojivunia kuwa wenye mapenzi kwa binaadamu. Nyimbo yao ''Wape Mikono'' imeweza kucheza katika mikutano nyingi sana ilhali sasa ikiwa miezi miwili tuu tangu kuiweka kwenye mtandao.

Wawili hawa wanajivunia nyimbo za kiinjili na wameimulikia sana ''Gospel industry'' ombi lao kuu ikiwa ni kwamba watu watamtumainia Mungu katika huduma hii.

Fuata link iliyomo hapa chini ili kuweza kuiona video ya ''Wape Mikono''

https://youtu.be/uAVbEznogXY

Leave your comment