NEW VIDEO (TANZANIA) – Tazama ‘Originali’ toka kwake G Nako
20 January 2016

Msanii G Nako toka kundi la Weusi ameachia video ya wimbo wake mpya wa ‘Original’. Video imeongozwa na Justin Campos wa Gorilla Films wa Afrika Kusini. Producer wa wimbo huo ni Nahreel wa The Industry(Tanzania).
Pia msanii huyo amewahi kuhit na wimbo wa ‘Mama Yeyoo’ akiwa na Ben Pol.
Tazama video hiyo hapa chini;




Leave your comment