EXCLUSIVE (TANZANIA) – Shabiki kaa tayari kwa remix ya ‘Asanteni Kwa Kuja’ toka kwa FA

Rapper Mwana FA asema baada ya kupata mapokezi makubwa ya wimbo wake mpya wa ‘Asanteni Kwa Kuja’, yamemfanya aandae remix ya wimbo huo.

Ambapo FA amesema kuwa angepata nafasi ya kumuongeza Professor Jay kwenye remix yake angetisha sana.

“Ukiona wasanii wameikubali na kila mmoja anajaribu kuweka namna yeye angeifanya, Asanteni Kwa Kuja ni kitu kizuri sana”, Mwana FA aliiambia 255 ya XXL ya Clouds FM Jumanne hii. “So kweli nafikiria kufanya remix, ikiwezekana nifanye hata mbili tatu kama mtoni vile watu wanavyofanya”.

“Nafikiri Fid Q alidondokea vizuri kwenye hii beat, Jay Mo aliua sana na Solo. Lakini ningekuwa na uwezo wa kumpata Mheshimiwa mbunge Professor ingekuwa vizuri sana lakini hao watatu ndio ninao mpaka sasa”.

FA pia amesema angependa katika remix hiyo kumuweka msanii wa kike.

“Mtu kama Maua Sama au Vanessa Mdee ingekuwa shoka zaidi”.

Leave your comment

Top stories