NEW VIDEO (TANZANIA) – Tazama vituko vya mama mjamzito ndani ya video ya Tunda Man – Mama Kijacho
19 January 2016

Mwanamuziki Tunda Man wa Tip top connection ameachia video mpya ya wimbo wake wa ‘Mama Kijacho’. Wimbo huo unaeleza vitu ambavyo wanaume wanakutana navyo ambapo wapenzi wao wanapokuwa wajawazito. Video imeongozwa na Hascana.
Tazama hapa;




Leave your comment