EXCLUSIVE (TANZANIA) – G Nako kutambulisha video mpya leo hii MTV Base wimbo unaitwa ‘O.G (Originali)’
18 January 2016

Rapper G Nako kutoka kundi la Weusi ameachia wimbo mpya unaitwa ‘O.G (Originali)’. Video yake itatambulishwa rasmi leo hii kwa mara ya kwanza katika kituo cha MTV Base siku ya terehe 18 januari 2016. Video imeongozwa na Justin Camps wa Gorilla Fims, Producer wa wimbo huo ni Nahreel wa The Industry.
Sikiliza audio hiyo hapa;




Leave your comment