NEW VIDEO (TANZANIA) – Trubadour George ft Ibrah – Uzuri wa Sura
15 January 2016

Wimbo mpya toka kwa msanii Trubadour George akiwa amemshirikisha Ibrah na video vipo tayari. Jina la wimbo huo ni ‘Uzuri wa Sura’ umetayarishwa na Young keys Morento pamoja na Cjamoker kupitia Bantu Music.
Video imetayarishwa na Mecky Kaloka Expression.
Tazama hapa;




Leave your comment