NEW VIDEO (TANZANIA) – Mwaka mpya na mambo mapya Single Sally ft Messen Selekta wanakuletea ‘Cossovo’

 

Tazama video mpya  toka kwa msanii Single Sally, wimbo unaitwa ‘Cossovo’ akiwa amemshirikisha Messen Selekta. Video hiyo imeongozwa na Erick Mzava.

Tazama na uburudike nayo hapa;

Leave your comment