EXCLUSIVE (TANZANIA) – Tazama picha za mkoko mpya wa muongozaji wa video Tanzania ‘Hascana’
8 January 2016

Mtayarishaji wa video za muziki nchini ‘Hascana’, ameanza mwaka kitofauti kwa kununua gari aina ya Toyota Harrier.

Hascana akiwa ni miongoni kati ya waongozaji waliofanya kazi nyingi kwa mwaka 2015, ameweka picha ya gari hilo na kuandika katika ukurasa wake wa Instagram;

2016 My New Car I call it “Moyoni” S/o to my Lexus Eyes #

Mwaka jana Hascana alishinda tuzo ya muongozaji bora wa video za muziki anayependwa kwenye Tuzo za Watu.

Leave your comment