02- EXCLUSIVE (TANZANIA) – Mashabiki waichachamalia MTV Base kupiga nyimbo za Ali Kiba

MTV Base wameshikiliwa na mashabiki wa Ali Kiba hadi maji ya shingo.

Hiyo imetokana na baada ya tawi lake la Afrika Mashariki, MTV Base East kuanzisha shindano dogo la kwenye Twitter (Face Off Tanzania) wakiwataka mashabiki kumtaja msanii aliyefanya vizuri Tanzania mwaka 2015 na kuwaweka Ali Kiba, Diamond, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz.

Watu zaidi ya 1500 walimpigia kura na Ali Kiba alishinda mchuano huo kama inavyoonekana hapa chini;

 

Matokeo hayo yakawa kama silaha iliyomgeukia mpigaji kwa MTV Base, baada ya mashabiki wa AliKiba kuanzisha kampeni ya kuitaka chanel hiyo kucheza nyimbo zake.

Kituo hicho kinadaiwa kuziweka kapuni video zake bila sababu za msingi. AliKiba mwenyewe aliwahi kulalamika kuwa hiyo ni sehemu ya mchezo anyofanyiwa nyuma ya pazia.

Na hizi ndizo comment za mashabiki kwa MTV Base;

OPEN LETTER TO MTV BASE AFRICA @Mtvbaseafrica. We As Music Lovers From Different Part of Africa, We are Kindly Asking Why You Guys Never Play Videos of @officiaalikiba? We really need to know whats behind this issue.

At the same time, we are all humbled and pleasing you guys to stop not playing Ali Kiba Music videos. He is one of the best Artist in Africa who knows to Bang his music  very well on a way that his music never boring people all over the continent. Once again, why you guys never plays His (Ali Kiba) Works In your Television? Consider all Artist equal  and let us fans decide..

We love AliKiba, We love his music, words can’t tell but action has proven it.. We are one Africa Break the barrier treat all artist equally. AliKiba is the best according to his fans.. Ali Kiba is the best according to us – viewers.

Audience demands u @mtvbaseafrica to play @officialikiba music videos

#PublicDemandsMTVBaseAfricaToPlayAliKibaVideos

Na nyingine ilisema;                        

Dear MTV as you have noticed in a recent concluded poll that you conducted to determine the popularity of musician in Tanzania, AliKiba has immense following and support in Tanzania. It is very unfortunate that your TV station never played his music videos. You are denying your audience to experience Ali’s music while the same time you are limiting Ali’s exposure to your audience, #PubllicDemandsMTVBaseAfricaToPlayAliKibaVideos.

Leave your comment