EXCLUSIVE (TANZANIA) – Unataka kujua kinachofuata baada ya Utanipenda ya Diamond!

Baada ya kufunga mwaka na wimbo wa Utanipenda, sasa ni kitu baada ya kitu. Ambapo meneja wa msanii huyo Sallam amesema mwezi huu Diamond anatarajia kuachia kazi mpya.

Akihojiwa na Bongo 5 alisema “Nadhani mwezi huu (Januari) tuna collaboration na AKA ambayo video yake ipo tayari”.

Pia katika mahojiano hayo aliongeza kuwa kwakuwa wimbo wa ‘Utanipenda’ ni wimbo wa huzuni na wa kusikiliza zaidi, wameona ni vyema kuachia pia wimbo wa kuparty.

“Tuna stock nyingi na hii ni collaboration, yaani AKA na Diamond kwahiyo tunapotoa nyimbo ya collabo mara nyingi huwa tunasupport kuhakikisha huwa inapita, sio unafanya halafu unaiacha tu”

Mbali na kazi hiyo ya Diamond na AKA, pia hivi karibuni Diamond alishoot video ya collabo yao na Mafikizolo.

Leave your comment