EXCLUSIVE (TANZANIA) – Lulu akanusha kulala na Tekno (Nigeria)
5 January 2016

Mrembo wa Bongo movie Elizabeth Michael aka ‘Lulu’ amelazimika kuandika maelezo ya kina kukanusha tetesi zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii kuwa alivunja amri ya sita na hitmaker wa Duro, Tekno Miles aliyekuwa jijini Dar siku ya mwaka mpya.
Aliandika maelezo haya katika ukurasa wake wa Instagram.

“Okay.. Naona mnatafutaga Topic na mkipata picha story mnatungaga mnazozijua . NI hivi …naomba heshima Na busara vitumike Nilikutana na Tekno kwenye show yake Na alikuja kunisalimia kwenye meza Yangu, picha zote zilipigwa Na yeye au mtu mwingine yoyote zilipigwa kwenye meza yangu by the time amekuja kunisalimia, Na sio mm tu niliyepiga nae picha NI watu wengi.. kuhusu issue yake Na whoever called Gigy me cjui Coz hata sikuwepo wakati wanapigana picha zao.. Kwahyo mni exclude kwenye hyo issue Yao
Nilikuwa najua akili Za watu wengi NDO maana hata sikuthubuthu kupost picha yangu Na Tekno B4 this issue
Mnachotakiwa kujua.. nilienda kwenye show as a fan n nothing else. Na NDO maana hata Post alopot Na mm ka post Kwa Heshima Na Taadhima Hakuna Mahusiano Mengine zaidi ya Hapo hata Tekno yenye Utata nje ya eneo la show yake Anisaisie hapa sshv..!
Hebu jaribuni kuwa mnaongelea vitu mnavyovijua Kwa Kina Na Sio kuunganusha unganisha tu..!
Sijaeleza maelezo mengi kwaajili ya KIMA yoyote alosema/kusambaza habari uongo.. nijieleza ili wale wachache wenye akili zao wasiendelee kupotoshwa..
Gotta Sleep with Bae now..
#InstagrambilaLuluInawezekana.”




Leave your comment