NEW VIDEO (TANZANIA) – Mwana FA – Asanteni kwa kuja

 

Rapper Mwana FA ameachia video yake ya ‘Asanteni Kwa Kuja’, ambapo audio ya wimbo huo aliiachia mwishoni mwaka jana na kwenda Afrika Kusini kushoot video hiyo.

Licha ya wasanii wengi kuachia video zao mwishoni mwa mwaka jana, hiyo inaweza kuwa sababu ya Mwana FA kusihikilia video yake hadi mwaka huu wa 2016 japokuwa tayari ilikuwa imekamilika.

Video hiyo imeongozwa na Alesio Bettocchi wa kampuni ya Studio Space Pictures ya Afrika Kusini.

Itazame hapa;

Leave your comment

Top stories