Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
NEW VIDEO (TANZANIA) – Fungua mwaka nahii mpya ya Peter Msechu – Malava
4 January 2016

Mwaka 2015 haukuwa mwaka mbaya kwa msanii Peter Msechu ambaye mbali na kutengeneza mkwanja mrefu katika kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu uliopita, lakini aliweza kuachia kazi kadhaa ikiwemo wimbo huu wa ‘Malava’.
Msechu ameuanza mwaka huu wa 2016 kwa kuachia video ya wimbo huo, ambao audio yake ilitoka mwaka jana 2015 Novemba. Video imeongozwa na director wa Kenya, Kevin Bosco Jnr.
Tazama video hiyo hapa chini;
Weekly Top 10 songs
Top stories
- Smart skid life history
09 September





Leave your comment