EXCLUSIVE (TANZANIA) – Madee kumuandikia Abdu Bonge wimbo wa kumbukumbu siku ya kuzaliwa

 

March, 28, 2105 zilianza kusambaa taarifa za kifo cha miongoni wa waanzilishi wa kundi la Tip Top Conection Abdul Bonge, kifo ambacho kinasemekana kilisababishwa na ugomvi ambao marehemu Abdul Bonge alienda kuamulia kwa bahati mbaya akasukumwa akadondoka na kufariki.

Msanii Madee ameamua kuingia studio na kurekodi wimbo huu kwa ajili ya kumbukumbu kwenye siku hii ya Disemba 31, ambayo marehemu Abdul Bonge  kama angekuwa hai angekuwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Wimbo umeandaliwa kwenye studio za MJ Records.

Sikiliza wimbo huo hapa;

Leave your comment

Top stories