EXCLUSIVE (TANZANIA) – Shilole afuta tattoo ya Nuhu Mziwanda, je nini kimetokea!
31 December 2015

Penzi la mastaa wa muziki Shilole na Nuhu Mziwanda laonekana kutetereka, japokuwa si mara ya kwanza kwa couple hiyo kutetereka,lakini safari hii inaonekana kuwa serious.
Kitu kinachofanya uvumi huo kuwa ni wa kweli ni baada ya Shishi kufuta tattoo yake aliyochora miezi michache iliyopita, yenye jina Nuh na kuchora UA juu yake.
Kipindi cha karibuni wawili hawaonekani pamoja kama ilivozoeleka, na kila mmoja amefuta picha za mwenzio kwenye kurasa za Instagram. Pia wikiendiiliyopita Shilole alifanya party nyumbani kwake ambapo hakusema sababu ya sherehe hiyo, lakini hakuwa na Nuh na wala hakupenda kuzungumzia pale alipoulizwa na marafiki aliowaalika.
Tazama picha hapa;

Tattoo mpya

Tattoo iliyofutwa




Leave your comment