EXCLUSIVE (TANZANIA) – Tekno wa Nigeria afanya kolabo na wasanii hawa kutoka TZ!

 

Msanii toka Nigeria anayetamba na kibao cha ‘Duro’, ametaja wasanii wa bongo ambao tayari ameshafanya nao kolabo.

Msanii huyo licha ya kuthibitisha kufanyika kwa kolabo hizo lakini hajui ni lini rasmi zitatolewa.

Akijibu swali aliloulizwa jana katika kipindi cha XXL ya Clouds FM Tekno alisema mpaka sasa amefanya kolabo na Vanessa Mdee, Diamond Platnumz na Rummy.

Vanessa Mdee

 

Diamond Platnumz

 

Rummy

 

Leave your comment

Top stories