EXCLUSIVE (TANZANIA) – Kayumba wa BSS kuja na mambo bab’kubwa!

 

Jaji mkuu wa Bongo Star Search, Madam Ritha amesema mshindi wa BSS 2015 anakuja na mambo makubwa.

Madam Ritha amesema mapaka sasa wapo kwenye maandalizi ya mwisho ya ujio wake.

“Kayumba anakuja na mambo makubwa”, amesema. “Watu wenyewe wataona na kuthibitisha hili ninalolisema. Nataka watu wawe na subira na kila kitu kitakuwa wazi soon Mungu akipenda”

Mshindi huyo wa BSS, Kayumba na Madam Ritha walisafiri kwenda nchini Afrika Kusini kwaajili ya kushoot video ya wimbo wa kwanza wa msanii huyo.

Leave your comment

Top stories