EXCLUSIVE (TANZANIA) – Mkubwa Fella kutambulisha kundi jipya la muziki ‘Salamu’ TMK (VIDEO)
30 December 2015

Mkurugenzi wa Yamoto Band na TMK Wanaume Family, Said Fella anakualika kutazama video ya utambulisho wa vijana wake wapya, wapo saba ambao wanaunda kundi jipya lililopewa jina la Salamu TMK.
Vijana hao wameachia video ya single yao mpya ya kwanza iitwayo 'NAFSI' iliyotayarishwa na Pablo.
Tazama hapa video hiyo;




Leave your comment