EXCLUSIVE (TANZANIA) – Jina la ‘Simba’ analotumia Diamond sasa ni la Mr Blue??

 

Msanii Mr Blue ameibuka na kudai kuwa jina la ‘Simba’ analotumia msanii mwenzake, Diamond katika post zake za kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa alilianzisha yeye wiki kadhaa baada ya kupewa na mashabiki zake.

 

 

“Naikumbuka post hii niliipost miezi saba iliyopita pale watu waliponiita jina la simba..ila inanishangaza kuona baada ya muda watu wengi wakijiita jina hili…hii inaonekana kuwa mi ni mbunifu wa hali ya juu.. na watu husubiri mimi nifanye ili waige ….#mfanowakuigwa$”, Mr Blue ameandika katika ukurasa wake wa Instagram.

Cha kushangaza ni kwamba mashabiki wanadai picha aliyopost haikuwa ya simba bali ni Chui (Tiger)!

Je hii ni kweli au la!

Leave your comment

Top stories