EXCLUSIVE (TANZANIA) – Maliza mwaka kivingine kwa kutazama video hii mpya toka kwa kundi jipya, Afroboys- Mbokodo!

 

Mwisho huu wa mwaka wasanii mbalimbali wakongwe na wapya pia wameamua kutoa zawadi za mwisho wa mwaka kwa kutoa burudani.

Kundi jipya la Afroboys wameachia video yao mpya inayoenda kwa jina la ‘Mbokodo’. Video imeongozwa na Tonee Blaze.

Tazama hapa;

Leave your comment

Top stories