VIDEO OF THE DAY (TANZANIA) – Tazama kiongozi huyu akibabaika wakati wa kuapishwa!!

 

 

 

 

 

Katika kusimama mbele za watu kujiamini kwa mtu daima huwa tunatofautiana, kuna wasiokuwa na woga, kuna kutetereka na kuna hofu. Lakini kwa mtu huyu hii ni woga, kutetereka au kutokujiamini, ambapo alipelekea hadi watu waliomo katika chumba hicho kushindwa kubana vicheko vyao.

Tazama video hii na utuambie kwa mtu huyo ni hali gani ilimpata wakati anaapishwa au ni kutokujua kusoma vizuri?

Leave your comment

Top stories