NEW SONG (TANZANIA) – Funga mwaka na hii toka kwa Chege ft Runtown & Uhuru- Sweety sweety
22 December 2015

Msanii wa kundi la TMK Chege Chigunda ameachia audio ya wimbo wake mpya wa ‘Sweety Sweety’ alomshirikisha Runtown (Nigeria) na Uhuru (Afrika Kusini).
Ambapo hivi karibuni ametoka kuachia video ya wimbo huo iliyofanyika Afrika Kusini na kuongozwa na Justin Campos wa Gorrilla Films. Producer wa wimbo huo ni DJ Maphorissa.
Tazama na sikiliza hapa;




Leave your comment