EXCLUSIVE – Inawezekana hii ikawa sababu ya Diamond kumuona Zari kama mwanamke wa kuoa ama!! (Picha)
21 December 2015

Mwanamke wa Kiganda na mjasiriamali Zari Hassan amekuwa akiongelewa na kupendwa na wengi. Kwa sasa amekuwa akiongelewa sana kwenye mitandao ya kijamii na kupata support kubwa Afrika Mashariki. Na hii inajithibitisha pale ambapo mashabiki wanaendesha account za Instagram kwa ajili yake #TeamZari.
Mwanamke huyo ambaye ni mama wa watoto 4, Zari siyo tu mfanyabiashara mzuri bali pia amethibitisha kuwa ni mwanamke wa kuoa (Wife material).
Zari alishare picha katika ukurasa wake wa Instagram ikimuonesha akiwa jikoni na kuacha wengi wakitamani na kudondosha mate wa picha hiyo.
Ikiwa Zari ni mwanamke anayejitambua na anayeweza kufanya chochote anachotaka ili kupata akitakacho.
Mwanamke huyo mrembo wamejaaliwa kupata mtoto mmoja na msanii pendwa Afrika Mashariki na nje ya Afrika kwa ujumla, Diamond Platnumz aitwaye Latifah aka Tiffah Dangote.

Source: Mpasho.com




Leave your comment