EXCLUSIVE (TANZANIA) – Songa kuachia album mpya tarehe 23 Dec, 2015 – NJIANI

 

 

 

Rapper Songa amesema anatarajia kuachia album yake mpaya ya ‘NJIANI’ tarehe 23 Disemba, 2015. Msanii huyo ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram na kuandika taarifa muhimu kuhusiana na gharama na jinsi ya upatikanaji wa album hiyo.

“Album Mpya iitwayo “NJIANI” toka kwa Samaki Mwenye Kiu Ndani Ya Maji “SONGA” itaanza kupatikana rasmi Jumatano ya tarehe 23/12/2015.

BEI: Nakala moja Tsh. 10,000/=

JINSI YA KUIPATA: kwa wakazi waishia Dar wataweza kupata album hiyo pale New Msasani Club au kupiga simu n0. 0656337757 na watapewa utaratibu wa kufikishiwa mpaka walipo.

Kwa wakazi walio nje ya Dar pia wanaweza kuagizia nakala kuanzia 5 na kuendelea na watafikishiwa walipo au wanaweza kusubiri kutangaziwa sehemu album itakapokuwa inapatikana kwa sehemu walipo.

Uzinduzi wa Album hii ya “NJIANI” utafanyika kuanzia mwakani katika mikoa tofauti.

NYONGEZA:

Unaweza kutoa oda na kulipa album kuanzia sasa na utaipata siku rasmi itakayotoka  (Jumatano).

KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU NO. 0656337757.”

#NjianiAlbum

#iKnowYouKnow

#WaneneEntertainment

#SamakiMwenyeKiuNdaniYaMaji.

Leave your comment

Top stories