NEW VIDEO (TANZANIA) – Ben Pol ft Anvril & Rossie M - Ningefanyaje

 

 

Ben Pol ameachia video yake mpya ya ‘Ningefanyaje’ aliyomshirikisha Anvril wa Kenya na msanii mpya Rossie M. Na hii ni mara ya kwanza kwa msanii Ben Pol kufanya video nje ya Tanzania na kufanyia huko Afrika Kusini na kuongozwa na Justin Campos wa Gorilla Films.

Tazama hapa;

Leave your comment

Top stories