TBT (TANZANIA) – Nikikupata – Ben Pol

 

 

Wimbo wa siku leo unatoka kwa msanii Ben Pol, unaitwa ‘Nikikupata’.

Katika wimbo huu msanii huyo anazungumzia mapenzi katika suala zima la tabia. Producer Duke katika studio za Music Lab, na video iliongozwa na Adam Juma wa Visual Lab.

Tazama video hiyo hapa;

Leave your comment