NEW AUDIO (TANZANIA) – Black Rhino – Time ya Kumeki Doo
16 December 2015

Rapper Black Rhino ameitambulisha mtaani nyimbo yake mpya inayoitwa ‘ Time ya Kumeki Doo’ akiwa amemshirikisha HDN na Chibwa Man.
Msanii huyo huko nyuma alitamba na vibao kama ‘Chagua Moja’, ‘Usipime’ na nyingine mbalimbali. Kwa kipindi alikaa kimya na sasa amerudi na hii mpya.
Sikiliza audio hapa;




Leave your comment