NEW AUDIO (TANZANIA) – Hello ya Adele kufanyiwa Cover na Jors Bless, Si ya kuacha kusikiliza!

 

Mwanadada Adele ameendelea kuvunja rekodi kwa kupata cover nyingi zaidi za wimbo wake wa ‘Hello’, ambapo hivi sasa pia msanii Jors Bless kutoka Tanzania naye amefanya cover ya wimbo huo.

Japokuwa kuna maelfu na maelfu ya cover ya wimbo wa ‘Hello’, kati ya hizo ni ile ya mwanadada Alaine kutoka Jamaica, Joe Thomas (Marekani), Dela wa Kenya na wasanii wengine kutoka nchi mbalimbali.

Sikiliza hapa cover kutoka Tanzania;

Leave your comment

Top stories